Godinho Mpuka jr
Member
- Dec 5, 2018
- 15
- 6
matapeli hao achana nao
Wameshawahi kukutapeli mkuu.matapeli hao achana nao
ukiona nimesema ujue yamenikutaWameshawahi kukutapeli mkuu.
Mimi hayanijuta na nimetumia kununua vitu vya thamani kubwa tu.ukiona nimesema ujue yamenikuta
sa uliniuliza ili ujisifie? bahat nzur umekutana na kichwa nilikusoma mapema sana na umepita mule mule😂😂Mimi hayanijuta na nimetumia kununua vitu vya thamani kubwa tu.
Kutapeliwa Kupatana ni mpk ujitakie mwenyewe.
Jamaa angu unapaniki hovyo hovyo kichizi.sa uliniuliza ili ujisifie? bahat nzur umekutana na kichwa nilikusoma mapema sana na umepita mule mule[emoji23][emoji23]
sasa mi na wewe nani kapanik hadi unaanza kutukana kipuuzi😁😁😁 be happy babu life isn't permanent,badala ya kumaliza mwaka kwa sala na toba unachokoza watu kwa matusi,huo mtego umenikosaJamaa angu unapaniki hovyo hovyo kichizi.
Inaonekana utakua mtu mfupi sana mpk mfuko wa mavi uko karibu na moyo kila saa unakua na hasira.