Kwa anyejua hatua za kuata ili kuahirisha masomo

Kwa anyejua hatua za kuata ili kuahirisha masomo

Ngosha255

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
430
Reaction score
512
Kama topic inavyojieleza
Mwenye upeo anisaidie hatua za kufuata ili kuahilisha masomo ma uapply tena next year maana nimeachwa na H.E.S.L.B na siwezi kumudu hata nusu ya gharama zinazohitajika
Nilikuwa nmepangiwa st.joseph (arusha)
NAWASILISHA
 
appeal mkopo ikishindikana ndo njia nyingine zifuate!!!!ni hayo tu
 
tatzo huelewek yan uhairishe mwaka afu mwakan uapply upya wap board ya mkopo au tcu au vyote?..kama huwez kumudu gharama ucilipe hata sent huko chuo afu uciatend kabsa hii itakusaidia ukiomba mkopo na chuo mwakan unaweza kupata..afu ukiharisha mwakan kwa barua jina lako linakuwa recorded.....mi nmepata mkopo ila hcho chuo cha kiu magumash xo nmeamua kuacha nitafute point za ziada afu zen mwakan niombe muhas hapo nahc sitachangia chochote.....
 
baba genovivah,kwa hiyo unamaanisha mtu usipoatend chuo ulichochaguliwa unaweza mwakani ukaomna tena tcu coz nyingine.mi binafsi nlichaguliwa lkn coz na chuo cjavipenda halaf mkopo nlichelewa kuomba.xo mwakani naweza anza upya kama form6 wengine
 
yah unaweza..hapo ni njia rahis kuliko kupostpone coz mwakan itabd uende hapo hapo...mi hao kiu haki ya nan hawanion yan nshalipia na pepa la necta kabsa mwakan mi niende muhas pharmacy....
 
yah unaweza..hapo ni njia rahis kuliko kupostpone coz mwakan itabd uende hapo hapo...mi hao kiu haki ya nan hawanion yan nshalipia na pepa la necta kabsa mwakan mi niende muhas pharmacy....

Ndalichako akinuna tena inakuwaje mdogo wangu? Huo ndo mwanzo wa kupoteza dira! Kwani huko kwa Mganda ulikuwa umepangwa kozi gani?
 
Back
Top Bottom