Kwa asili watu wa Mbeya ni wanaharakati Kilimanjaro ni wazee wa fursa

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Watu wa Mbeya wana hulka ya harakati ndio maana kule huwa siasa za upinzani hupata nguvu sana ni watu wasiojubali kuburuzwa ndio maana kwenye matukio mengi ya kupambana kijasiri ni ngumu sana kuwakosa.

Ila watu wa Kilimanjaro ukiwakuta mahali ujue pana harufu ya ulaji wanawaza na kufukuzia fursa ya kupiga hela.
 
Watu wa kanda ya ziwa vipi?
 
Mmh! Wachaga wanasafirisha sana miili ya wapendwa wao waliotangulia mbele za haki. Kuna fursa huko pia?
 
Although kifo ni regular thing dunian , statement yako haina ukweli wowote. Kila jamii inasafirisha wapendwa wao sana, tena kuna jamii mikoa ya kati ya nchi hii wamezd lakin sasa tofauti ni nini?
 
Watu wa Mbeya wana hulka ya harakati ndio maana kule huwa siasa za upinzani hupata nguvu sana ni watu wasiojubali kuburuzwa ndio maana kwenye matukio mengi ya kupambana kijasiri ni ngumu sana kuwakosa.

Ila watu wa Kilimanjaro ukiwakuta mahali ujue pana harufu ya ulaji wanawaza na kufukuzia fursa ya kupiga hela.
Watu wa Kilimanjaro wana akili kwa kuwa wantengeneza fedha tu. Watu wa Mbeya wanapenda sifa za kijinga kuonekana eti ni wabishi huku jiji lao likizidi kudorora. Nani atapeleka maendeleo kwa Jiji la maandamano?
 
Back
Top Bottom