Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,158
- 4,449
Hawa vijana watatu wapo Mkoani mbeya maeneyo Lughombo wanajishughulisha na kilimo kama timu, hawajawahi kuoa, sasa wamechoka na maisha ya kibachela kwa pamoja wamekubaliana kila mtu atafute mke wa kuoa. kwa atafutaye mume hii ni fursa ya kutokuiacha.
Wakwanza ana umri wa miaka 33, wa pili miaka32 na watatu miaka 27.
Sifa za wanawake wanao takiwa kutuma maombi kwa kila mmoja.
1. Wakwanza kutoka kushoto anaitwa Afyusisye: anataka mwanamke mrembo, msafi na asiwe mfupi mwenye umri usiozidi miaka 35. Weupe ni added advantage.
2. Wapili kutoka kushoto anaitwa Anyimike: anataka mwanamke mrembo, mweupe, mrefu mwembamba mwenye umri usiozidi miaka 37. Urefu ni added advantage.
3. Watatu kutoka kushoto anaitwa Kapufi: anatafuta mwanamke mwenye mwili mkubwa na uwezo kifedha, mwenye umri usiozidi miaka 37. Urembo ni added advantage.
Wote watatu wanatumia e-mail hii fredsimon65@yahoo.com kikubwa unatakiwa kusema unamuhitaji nani? then atakujibu kwa kukuuliza maswali mawili matatu ya usahili uki-pass mchakato wa posa utaanzia hapo:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:.