Kwa atakayeridhika na huu ukweli wangu namkaribisha rasmi tuianze safari ya kimahusiano hadi ndoa

CELLULAIRE

Member
Joined
Mar 16, 2016
Posts
76
Reaction score
97
nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mchumba na hatimaye mke wangu ila atakayeweza kuridhika na huu ukweli wangu wa kimaisha kwa sasa.

ni kwamba kwa sasa sina kazi wala pesa kwani nimetoka kupata ridadansi yangu kama miezi mitatu imepita hivyo bado napambana kutafuta ajira lakini bado sijafanikiwa.

nahitaji mwanamke atakayenielewa kwa haya mazingira yangu, mvumilivu lakini pia ambaye ataniongoza kwa ushauri jinsi ya kutoka katika haya maisha ili basi baadae mimi na yeye tuje kuwa na uhusiano mwema.

ikitokea huyo mwanamke akawa na mali zake au pesa zake mimi sitohitaji anipe hizo hela zake isipokuwa nitataka mimi na yeye tushirikiane kwa kuchanganya mawazo yetu kusudi tuweze kuwa na mabadiliko makubwa katika maisha yetu.

kwa yule mwanamke ambaye ataona ninamfaa na ameridhika na ukweli wangu hapo juu basi namkaribisha kimawasiliano zaidi kupitia email hii ya walterfrank848@gmail.com. Umri uanzie mwaka 30 hadi 40 tu na si chini ya hapo au zaidi ya hapo tafadhali. dini haina shida kwangu.

asanteni na karibuni.
 
Badala utafute kazi unatafute Mwanamke....... Wewe jamaa ni kiazi kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona hapa wewe ndiye unaonekana una matatizo makubwa Kichwani ( namaanisha Mpumbavu ) kwani aliyekuambia kuwa Mtu hata kama hana Kazi haruhusiwi Kupenda ni nani? Hivi unashindwa tu kuelewa kwamba anaweza akawa kweli hana hiyo Kazi lakini kupitia Mtu atakayempata na kama akiwa nae anajiweza au ana mtandao mpana wa Watu wa kumsaidia huyo Mwanaume basi anaweza akawa ni msaada mkubwa kwake? Ndiyo maana FaizaFoxy huwa anawaulizeni kuwa huko Shuleni na Vyuoni mlienda kufanya nini kama pamoja na kwenda huko bado mnaendelea tu kuonyesha Upumbavu wenu wa kutokujua Kufikiri na Kujenga vyema Hoja.

Cc: Equation x
 
Suala la kutafuta mwenza huwa lipo palepale haijalishi umefanikiwa kimaisha au hapana;Kinachotokea ni kuwa unampata mtu kutokana na hali yako,mfano wewe pato lako ni 50,000 maana yake utampata mtu anayeendana na 50,000.Tofauti na hapo ni kutegemea miujiza na bahati.
 
Sasa kama kumbe hili unalijua kilichokufanya ukubaliane na upuuzi wa Mzee ni nini?
 
nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mchumba na hatimaye mke wangu ila atakayeweza kuridhika na huu ukweli wangu wa kimaisha kwa sasa.

ni kwamba kwa sasa sina kazi wala pesa kwani nimetoka kupata ridadansi yangu kama miezi mitatu imepita hivyo bado napambana kutafuta ajira lakini bado sijafanikiwa.

nahitaji mwanamke atakayenielewa kwa haya mazingira yangu, mvumilivu lakini pia ambaye ataniongoza kwa ushauri jinsi ya kutoka katika haya maisha ili basi baadae mimi na yeye tuje kuwa na uhusiano mwema.

ikitokea huyo mwanamke akawa na mali zake au pesa zake mimi sitohitaji anipe hizo hela zake isipokuwa nitataka mimi na yeye tushirikiane kwa kuchanganya mawazo yetu kusudi tuweze kuwa na mabadiliko makubwa katika maisha yetu.

kwa yule mwanamke ambaye ataona ninamfaa na ameridhika na ukweli wangu hapo juu basi namkaribisha kimawasiliano zaidi kupitia email hii ya walterfrank848@gmail.com. Umri uanzie mwaka 30 hadi 40 tu na si chini ya hapo au zaidi ya hapo tafadhali. dini haina shida kwangu.

asanteni na karibuni.
Hahahaaa!!!!
Yaani huo ndiyom ukweli umekuja kutushuhudia hapa,kweliiii!!!!?
 
Back
Top Bottom