kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Ujuaji na tabia ya mashabiki wa soka nchini inaudhi mno. Nitawachukua baadhi ya mashabiki wa Simba Sc kama sample.
Tuanze,
Jana kulikua na mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Simba Sc na Asante kotoko ya Ghana uliochezwa nchini Sudan, Simba Sc iliibuka na ushindi wa mabao 4 kwa 2.
Baada ya mchezo nilipita kwenye mitandao ya kijamii na kukutana na comments nyingi kutoka kwa mashabiki wakilalamikia uwezo wa wachezaji, walalamikiwa ni;
Kuna wachezaji ndiyo kwanza wamecheza mchezo wa kwanza, wengine michezo miwili mpaka mitatu, cha kujiuliza ni je, ujasiri wa kuwahukumu unatoka wapi?
Niwaombe mashabiki wa soka tuache ujuaji, tuzipe muda timu zetu na wachezaji wetu ili yasije kutokea ya Manchester United ambapo mchezaji ataliliwa kusajiliwa na baada ya mchezo mmoja atatukanwa na kutakiwa kuondoka kwa kuonekana hana kiwango.
Nisiwachoshe, naenda kazini!
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

- Zungu
- Akpan
- Phiri
- Sakho
- Kapama
- Kocha
- Ally Salim
- Outarra
- Okwa
- Okra
- Chama
- Babra
- Mo