Kwa bajet ya 500 napata simu gani nzuri?

Kwa bajet ya 500 napata simu gani nzuri?

mbuzi kwa hiyo 500 labda utafute supu ya ngozi yako tu......
 
Kwa vile hujataja pesa gani, hebu tuchukulie hizo ni Dinari 500 za Kuweiti (=TZS 4,147,000).

Hapo utapata Iphone 16 Pro Max!
 
Braza rudi tu jela ...🎶kipande Cha sabuni 950 kilo ya unga itakuaje 🎶
 
Tafuta simu ya kawaida ya 200k mkononi 300k tafuta goli la matunda safi na clasic tafuta dogo mvishe clasic apige mzigo miezi 3 utakuja nishukuru. FAINALI NI UZEENI.
 
Tafuta simu ya kawaida ya 200k mkononi 300k tafuta goli la matunda safi na clasic tafuta dogo mvishe clasic apige mzigo miezi 3 utakuja nishukuru. FAINALI NI UZEENI.
BhHH hahahah mzee punguza ushauri kwa watu usiowajua, wew sema simu yaishe
 
Back
Top Bottom