Ila haina ubora [emoji16][emoji16][emoji16]Zipo za kutoshaa.
Chukua ouling yenye vioo viwili
Yakwangu niliitumiq miaka mitatu ilikua bora sana na mng'ao wa hatarii..nikauza nikaenda kununua hisense kubwa zaidi. Aisee haifikiii ile ouling
2. kama nitapata nichukue brand gani?
takataka una maana gani, hazifai? zinawahi kufa? hazina HD?
Mfukoni nina 300,000/=.
Nikijipiga sana, naweza ongeza ikafika 350,000/=.
Nahitaji flat screen inchi 32, naombeni msaada wa vitu viwili:
1. kwa bajeti hiyo nitapata TV ya inchi 32?
2. kama nitapata nichukue brand gani?
Kama kuna anaeweza kunielekeza na duka kabisa nikaenda nikachukua itakua poa.
Ambayo sio smart na 4k ila iwe UHD zina range kwenye Tshs. Ngapi kwa brand hizo used na brandnew?350,000/= used from UK unapata smart 4K bila shida yyte iwe Samsung LG kwa mpya ujiongze kdg