round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Nimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa
Bei ya kioo ni shilingi laki 4
Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima nilikuwa natumia kitochi
round hii nimeona bora nibadili simu maana simu itanifilisi kipato changu sio kikubwa
Naombeni ushauri ninunue simu gani kwa bajeti ya laki 4 hadi 6 ambayo ina vioo vinavyo uzwa around laki
Napendelea zaidi kutumia samsung na google pixel