round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
nilisahau kuongeza maelezo ya ziada, simu nazohitaji ziwe flagship kama samsung, pixel, sony, etcInfinix hot 10 play haizidi laki 2 na 80
Simu zenye lcd kioo hakizidi laki hata kiwe kizuri kiasi gani.Nimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa
Bei ya kioo ni shilingi laki 4
Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza nilikubali kulipia kioo, round hii nimeona bora nibadili simu
Naombeni ushauri ninunue simu gani kwa bajeti ya laki 4 hadi 6 ambayo ina vioo vinavyo uzwa around laki
Napendelea zaidi kutumia samsung na google pixel
Acha basi [emoji3][emoji3] hii list hakuna simu yenye kioo cha laki 1 ikifa kioo au hujamuelewa mshkaji..Google Pixel 7a
Google Pixel 6a
Samsung A15 4G/5G
Samsung A24
Samsung S10e
Samsung S20+
Infinix Hot50/50 Pro+
Tecno Spark30 pro
[emoji23]tatizo anaiwazia ife kiooAcha basi [emoji3][emoji3] hii list hakuna simu yenye kioo cha laki 1 ikifa kioo au hujamuelewa mshkaji..
Nunua kishikwambi kwa mwalimuNimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa
Bei ya kioo ni shilingi laki 4
Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima nilikuwa natumia kitochi
round hii nimeona bora nibadili simu maana simu itanifilisi kipato changu sio kikubwa
Naombeni ushauri ninunue simu gani kwa bajeti ya laki 4 hadi 6 ambayo ina vioo vinavyo uzwa around laki
Napendelea zaidi kutumia samsung na google pixel
Mkuu ni simu gani used nitapata kwa bei ya 250k- 300k ?Simu zenye lcd kioo hakizidi laki hata kiwe kizuri kiasi gani.
Kwa flagship za zamani zenye lcd ni iphone 11, Xiaomi redmi K30S (Aka Mi 10T), Aquos R5G na Aquos R3.
Alternative ni kununua Simu yenye warranty ya Tanzania sema njia hii ni mtu umfahamu kabisa akuuzie, simu ikiwa na Samsung care+ kubadili kioo ni bei rahisi.
Pia kuna Midrange ambazo ni kali, sio flagship level ila quality zake hazipo mbali na flagship,
Baadhi ya hizo simu ni kama
Oneplus Ace racing edition, Vivo Y100T, Motorola Edge S, Honor X40 GT, Xiaomi Redmi 11 na 12 zinazoishiwa na T kama 11T pro, 12T pro etc. Zote hizi zina Either Dimensity 8100 am Snapdragon 870 ambazo zilikua soc nzuri kurival flagship.
Asante kwa maelezo ya kina yenye maarifa na ushauri chief, ntayafanyia kaziSimu zenye lcd kioo hakizidi laki hata kiwe kizuri kiasi gani.
Kwa flagship za zamani zenye lcd ni iphone 11, Xiaomi redmi K30S (Aka Mi 10T), Aquos R5G na Aquos R3.
Alternative ni kununua Simu yenye warranty ya Tanzania sema njia hii ni mtu umfahamu kabisa akuuzie, simu ikiwa na Samsung care+ kubadili kioo ni bei rahisi.
Pia kuna Midrange ambazo ni kali, sio flagship level ila quality zake hazipo mbali na flagship,
Baadhi ya hizo simu ni kama
Oneplus Ace racing edition, Vivo Y100T, Motorola Edge S, Honor X40 GT, Xiaomi Redmi 11 na 12 zinazoishiwa na T kama 11T pro, 12T pro etc. Zote hizi zina Either Dimensity 8100 am Snapdragon 870 ambazo zilikua soc nzuri kurival flagship.
Kwa used flagship kama hio redmi K30S unapata, sema uagizishie online,Mkuu ni simu gani used nitapata kwa bei ya 250k- 300k ?
Asante nashukuru...Kwa used flagship kama hio redmi K30S unapata, sema uagizishie online,
Used Midrange hio moto edge S unapata.
Kwa simu mpya Samsung A05, Xiaomi redmi 14C sema ni simu za kawaida sana.
Sema ushauri wangu kama unaweza ongeza budget kidogo tafuta Samsung A15 hii inacheza around 300-350K ikiwa mpya version ya Africa yenye warranty, itapunguza stress incase inaharibika.
Bei hiyo ya A15 ni ya wapi mkuu, kuna muuzaji kanipa quote ya 430k na 450k.Kwa used flagship kama hio redmi K30S unapata, sema uagizishie online,
Used Midrange hio moto edge S unapata.
Kwa simu mpya Samsung A05, Xiaomi redmi 14C sema ni simu za kawaida sana.
Sema ushauri wangu kama unaweza ongeza budget kidogo tafuta Samsung A15 hii inacheza around 300-350K ikiwa mpya version ya Africa yenye warranty, itapunguza stress incase inaharibika.
Kuna A15 4G na 5G za 5G ndio zinakua range hio ya 4G nimenunua kama mara 3 bei ilikua 320-340K last time niliambiwa zimepanda ndio nikapata kwa 340K ila kikawaida ni 320K tu.Bei hiyo ya A15 ni ya wapi mkuu, kuna muuzaji kanipa quote ya 430k na 450k.
Watembelee Redmi au ingia Aliexpress chap unapata kioo cha simu yoyote siku 20 tu umepokea mzigoNimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa
Bei ya kioo ni shilingi laki 4
Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima nilikuwa natumia kitochi
round hii nimeona bora nibadili simu maana simu itanifilisi kipato changu sio kikubwa
Naombeni ushauri ninunue simu gani kwa bajeti ya laki 4 hadi 6 ambayo ina vioo vinavyo uzwa around laki
Napendelea zaidi kutumia samsung na google pixel
Mkuu Chief-Mkwawa ,Mwenye Enzi Mungu azidi kukupa maisha, ujuzi na maarifa. Wengi tunafaidika sana na michango yako hapa JF, pamoja na kuwa huwa HATURUDI KUTOA USHUHUDA!Kuna A15 4G na 5G za 5G ndio zinakua range hio ya 4G nimenunua kama mara 3 bei ilikua 320-340K last time niliambiwa zimepanda ndio nikapata kwa 340K ila kikawaida ni 320K tu.
Pia kuna wajanja wanaleta refurb ukijichanganya wanakupiga, ukinunua hizi simu hakikisha kabla huja fungua box unaweka Imei kwenye Samsung Care+ ikikubali kuregister warranty ya Africa ujue ni yenyewe.
Maduka ni Kkoo Agrey, kuna jamaa yeye anapewa Jumla, anachukua then nampoza kidogo na yeye. Ila hata kwa reja reja mtu faida 10-20K anachukua.
Naunga mkono hoja yako ndugu mjumbe! Jamaa sio mchoyo wa kutoa maarifa aliyonayo.Mkuu Chief-Mkwawa ,Mwenye Enzi Mungu azidi kukupa maisha, ujuzi na maarifa. Wengi tunafaidika sana na michango yako hapa JF, pamoja na kuwa huwa HATURUDI KUTOA USHUHUDA!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app