Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samsung a-24 ni nzuri sanaKwa kazi zangu za mtandaoni mara kwa mara na sim yenye kasi na uwezo wa kuhifadhi vitu vingi na inayokaa na chaji sana nishaurini tafadhali ninunue sim gani kwa hiyo bajeti
Vipi uvumilivu wa Betri yake ?Google pixel 6,
-Quality nzuri (haichakai haraka)
-Processor yenye speed
-Muonekano wa kawaida ila wa tofauti
-Sio Simu ya trend Kwamba likitoka toleo jipya la zamani linaonekana limepitwa na wakati.
Mrejesho...Nimetoka kuvuta samsung s21 refurbished kwa 500k. Nitafute baada ya miezi miwili nitoe mrejesho.