SOCIETY'S FOCUS
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 498
- 685
Habari ya majukumu ndugu zangu, nmejikusanya kidogo kidogo nkafanikiwa kupata laki tano kwa ajili ya tv.. Nahitaji tv imara na nzuri, je naweza kupata kampuni gani na ni inch ngap?
Ukiweza kunambia strength na weakness ya tv utakayonishauri ntashukuru zaidi.
Asante
Ukiweza kunambia strength na weakness ya tv utakayonishauri ntashukuru zaidi.
Asante