Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka.

Natanguliza shukurani.
 
Mkuu goba unapata self. Ingia TikTok search dalali goba utawapata na vyumba utaviona
 
Mbagala, Tandale n.k huko kwa 50,000/= unapata chumba kwa hiyo bajeti yako.
Sasa tandale Kuna chumba gani standard kwa 50k,mkuu?

Mbagala kuanzia maeneo ya chamazi atapata chumba kikali kwa hiyo bajeti. Na uhakika wa gari Moja upo masaa 15,kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa tatu usiku.
 
Mbagala Ni gari moja Hadi town. Kwa bajeti ya 50,000 Mbagala ndio kwako.
Kule mabinti utawachoka, buku jero unapata wali nyama kwa mama ntilie.
Njoo Mbagala mkuu.
 
Ataangalia mwenyewe kama anataka kukaa karibu na mjini TANDALE inamfaaaa, nje ya mjini ni MBAGALA
 
Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka.

Natanguliza shukurani.

Hiyo bajeti TEMEKE unapata chumba kizuri kabisa.
 
Mbagala Ni gari moja Hadi town. Kwa bajeti ya 50,000 Mbagala ndio kwako.
Kule mabinti utawachoka, buku jero unapata wali nyama kwa mama ntilie.
Njoo Mbagala mkuu.
Mbagara changamoto za usafiri ni kubwa Sana aende Temeke na akifika huko aishi Kama wazee asipende makuu maana UTI sugu zinaweza kumuua.
 
Kiufupi jamaa anatakiwa akae wilaya ya temeke.
 
Back
Top Bottom