BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Sasa tandale Kuna chumba gani standard kwa 50k,mkuu?Mbagala, Tandale n.k huko kwa 50,000/= unapata chumba kwa hiyo bajeti yako.
Ataangalia mwenyewe kama anataka kukaa karibu na mjini TANDALE inamfaaaa, nje ya mjini ni MBAGALASasa tandale Kuna chumba gani standard kwa 50k,mkuu?
Mbagala kuanzia maeneo ya chamazi atapata chumba kikali kwa hiyo bajeti. Na uhakika wa gari Moja upo masaa 15,kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa tatu usiku.
Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka.
Natanguliza shukurani.
Mbagara changamoto za usafiri ni kubwa Sana aende Temeke na akifika huko aishi Kama wazee asipende makuu maana UTI sugu zinaweza kumuua.Mbagala Ni gari moja Hadi town. Kwa bajeti ya 50,000 Mbagala ndio kwako.
Kule mabinti utawachoka, buku jero unapata wali nyama kwa mama ntilie.
Njoo Mbagala mkuu.
Qmmmk[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbagara changamoto za usafiri ni kubwa Sana aende Temeke na akifika huko aishi Kama wazee asipende makuu maana UTI sugu zinaweza kumuua.