Kwa baridi la sasa hapa Dar es Salaam kama hujaoa nakupa pole aisee

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Kama hujaoa kwa hili baridi ndo basi tena

Kama huna hata wa kuboostiana nae kwa baridi hili nakupa pole

Kuna watu waliachana na wapenzi wao sahivi wanalaani tu kwa wanawish wangekua nao

Baridi lipo sana
 
Kama hujaoa kwa hili baridi ndo basi tena

Kama huna hata wa kuboostiana nae kwa baridi hili nakupa pole

Kuna watu waliachana na wapenzi wao sahivi wanalaani tu kwa wanawish wangekua nao

Baridi lipo sana
Kile kibaridi Cha halafu ukipiga kibao Cha fasta huwa kinanoga Sana[emoji2][emoji2][emoji2] sio kwa utamu uleee
 
Yaani hadi DAR mnalalamika kuna baridi.?
Nunueni blankets au heater mpate joto.
Akili za mleta mada anadhani mwanamke ndio ana leta joto?
Kwa akili za mleta mada ndio wasiotaka Katiba mpya.
 
Kama hujaoa kwa hili baridi ndo basi tena

Kama huna hata wa kuboostiana nae kwa baridi hili nakupa pole

Kuna watu waliachana na wapenzi wao sahivi wanalaani tu kwa wanawish wangekua nao

Baridi lipo sana
Dar haijawahi kuwa baridi . Tembelea mikoa yenye asili ya baridi eg. Iringa 'Arusha ' manyara etc huteleta tena huu utopolo.
 
Sasa hivi ukikatiza mitaani unakuta wanauza majaketi kwa baridi ya msimu watu wa dar ni waoga sana,mtoa mada moto na mwanamke kipi kinaondoa baridi?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Nyie ndo mnafanya tuonekana wanaune tulioko huku Dar kwa utafutaji kuwa tumefanana wote.
Hivi unachoongea una maanisha au ndo wale haswa wanaume wa Dar?
Hivi kuna baridi gani hapa Dar?
Anyway kila mtu anahaki yakutoa maoni yake ila Vitu vingine mnafanya tuzidi dharaulika.
Kama umezaliwa Dar nakushauri siku moja tembea upate baridi za mikoa mingine utajua umeandika utopolo.
 
Kama hujaoa kwa hili baridi ndo basi tena

Kama huna hata wa kuboostiana nae kwa baridi hili nakupa pole

Kuna watu waliachana na wapenzi wao sahivi wanalaani tu kwa wanawish wangekua nao

Baridi lipo sana
Sijaona baridi DSM mazee.
Unless uwe hujafika Arusha, Mbeya ama Lushoto Tanga miezi hii, huwezi ukaita hii hali ya hewa ya hapa DSM ni baridi. No way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…