Tunauza batiki na vikoi rangi na aina mbalimbali pisi / kipande kimoja cha batiki / kikoi ni Tsh: 8000, ukitaka pisi mbili bei mara mbili ya hiyo hapo juu vile vile na pisi tatu itakuwa hivyohivyo pia na kwenye maduka tunasambaza KARIBUNI SANA. tupo dodoma pia tunaweza kukutumia ni PM kwa mawasiliano zaidi.