Kwa biashara hii nahitaji leseni?

Habarini wana ajamvi..

Hivi biashara ya play station games (Ps game) inahtaji kuwa na TIN na leseni??



Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Nenda TRA au almashauri iliyopo karibu watakupa majibu sahihi. Vinginevyo tafuta kitambulisho cha kodi ya kichwa au machinga
 
mkuu TIN ni Taxpayer Identification Number, na kama mauzo yako yanazidi 4m kwa mwaka lazima ulipe kodi, na kama una premises ambayo unafanya biashara lazima uwe na leseni ambayo utapata baada ya kujaza fomu ambayo itadetermine category ya biashara yako
 
Na kwa mfano hayazidi 4Mil hapo inakuaje mkuu?
 
Sio leseni tu, unatakiwa kua na kibali cha burudani na utamaduni ili uweze kuendesha fresh biashara yako, kitambo kidogo nlishafanya hii biashara, ata location pia zingatia maana kuna sehem unaweza fungua jamii ikakataa wazaz wakaungana ukafunga kibanda chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio maana kwenye fomu kuna sehemu ya ofisi ya mtendaji wa kata ikisema kaama upewe au usipewe leseni akiona biashara yako haifai mtaani basi haupewi
 
ndio maana kwenye fomu kuna sehemu ya ofisi ya mtendaji wa kata ikisema kaama upewe au usipewe leseni akiona biashara yako haifai mtaani basi haupewi
Daaaah ni hatar sas
 
Ila kweli ukishakuwa addicted hata kula hutaman [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…