masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Leo nimestaajabu sana baada ya kulijua hiliDuuh
Maboss wanazingua hii, hesabu ni kubwa sana kwa wiki aiseeHizo Tata za chanika na ruti mbali mbali mkiziona tata hiyo ndo hesabu
Hii hesabu naiona ni kubwa na kwa maoni yangu ni ya kinyonyaji na hii inafanya dereva alale late aamke mshale
na pia inachangia mwendo kasi sana kwa haya ma TATA
kama mnakumbuka kuna lile lilidondoka juu kwenye fly over
Jamaa ndio maana wapo rafu sana on roadHizo Tata za chanika na ruti mbali mbali mkiziona tata hiyo ndo hesabu
Hii hesabu naiona ni kubwa na kwa maoni yangu ni ya kinyonyaji na hii inafanya dereva alale late aamke mshale
na pia inachangia mwendo kasi sana kwa haya ma TATA
kama mnakumbuka kuna lile lilidondoka juu kwenye fly over
Mkuu,Tata Ukinunua Mpya ni Milioni 100+So kwa hesabu ya 300k inamaana kwa mwezi ni 9M kwa mwaka 100m net.Ili kwanza ilipe mtaji.So Yes ni kubwa ila sasa Utafanyeje na Umetaka kazi ukapewa kazi.Kwa kweli madereva wa daladala tunapata tabu sana.Serikali itupe Ruzuku,Maboss wanazingua hii, hesabu ni kubwa sana kwa wiki aisee
TATA inauzwa 130mil....ukilipa 60mil unapewa mkstaba 2yrs au 3yrs...kila mwezi unapeleka 2.5m etc...tegemea muda uliochagua...bima...Compressive...Larra....veta mkanda uniform etc....Hizo Tata za chanika na ruti mbali mbali mkiziona tata hiyo ndo hesabu
Hii hesabu naiona ni kubwa na kwa maoni yangu ni ya kinyonyaji na hii inafanya dereva alale late aamke mshale
na pia inachangia mwendo kasi sana kwa haya ma TATA
kama mnakumbuka kuna lile lilidondoka juu kwenye fly over
Hiyo hesabu ni ya mda gani?,. Kwa siku mmoja au?Leo nimestaajabu sana baada ya kulijua hili
Toto habari?Duuh
Salama za kwako?Toto habari?