Kwa boss 300,000/= na mafuta 280,000/=

Uandishi hui ni wa style gani?
 
Serikali inaingiaje hapo mkuu???
 
Hizi hesabu ni kwa siku?
 
Maboss wanazingua hii, hesabu ni kubwa sana kwa wiki aisee
Derreva na abiria walikua wanapiga stori leo juu ya ile ajali kwamba ile gari iliyomgonga yule askar chanika ilikatika control ya steling
Lakin kwa kuwa huwa zipo kasi hata ikitokea mistake kidogo ni ngumu kuicontrol sabbu huwa zipo speed
Ndo nikauliza hivi kwanini hizi gari zipo speed
Ndo akasema tatizo hesabu
Tukafikia hapo kwenye hizo data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…