Kwa Chemistry hii ya GSM. Injinia Hersi Said, Umoja wa wana Yanga na Spirit ya Wachezaji Yanga SC itafanikiwa tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mitimu mingine Boss Mkuu hajulikani, Bahili, Juha japo lina Hela, anaijali Timu ikikaribia kupata Fedha huku Viongozi wake Wengine wakiwa wapo wapo tu kila Mtu na Lwake halafu na Mishabiki yao ( GENTAMYCINE nikiwemo ) hatujaishia tu kuwa Mbumbumbu bali sasa ni Wendawazimu kabisa.

GSM ni Tajiri makini asiye na Mbambamba, Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said ni Mtu very Intelligent ( Mwerevu ), Mashabiki ( Wanachama ) wao nao ni Wafia Timu mno na hawanunuliki wala hawadanganyiki kdma Mizuzu kwa kuletewa Mchezaji Mpiga Kura Ukumbini na wana Wachezaji wanaojua nini Wajibu wao na yapi ni Malengo yao kwa Timu.

Ukiona Uzi wangu huu na Nyuzi Nyinginezo zinakukwaza na Kukuudhi hakikisha unatafuta Sumu ya Panya hapo uliko Ikoroge na Uinywe ili Ufe kabisa.

Yanga SC Mabingwa wa CAFCC 2023.
 
Akili zitawaludi tuuh
Screenshot_20230517_224124_Twitter.jpg
 
Subiri nimwite ye34nbe aje akulime dislike
 
Ni kweli
 
Ni wewe mwenyewe umeandika haya au tukaripoti polisi kuwa umeibiwa simu?
Kama ni wewe kweli nakupa like
 
Mitimu mingine Boss Mkuu hajulikani, Bahili, Juha japo lina Hela, anaijali Timu ikikaribia kupata Fedha huku Viongozi wake Wengine wakiwa wapo wapo tu kila Mtu na Lwake halafu na Mishabiki yao ( GENTAMYCINE nikiwemo ) hatujaishia tu kuwa Mbumbumbu bali sasa ni Wendawazimu kabisa.

GSM ni Tajiri makini asiye na Mbambamba, Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said ni Mtu very Intelligent ( Mwerevu ), Mashabiki ( Wanachama ) wao nao ni Wafia Timu mno na hawanunuliki wala hawadanganyiki kdma Mizuzu kwa kuletewa Mchezaji Mpiga Kura Ukumbini na wana Wachezaji wanaojua nini Wajibu wao na yapi ni Malengo yao kwa Timu.

Ukiona Uzi wangu huu na Nyuzi Nyinginezo zinakukwaza na Kukuudhi hakikisha unatafuta Sumu ya Panya hapo uliko Ikoroge na Uinywe ili Ufe kabisa.

Yanga SC Mabingwa wa CAFCC 2023.
Leo umehamka vinzuri sana
Kongole kwako
 
Back
Top Bottom