GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
hawajui kiingereza na mimi sijui kiingereza. tunatumia alama za ishara na picha kufikishana kwenye lengoGENTAMYCINE naomba niandaliwe Program Maalum nchi nzima ya kufundisha Customer Care kwa Watoa Huduma Wote kabla ya kuanza kwa Mashindano haya na nawahakikishieni kwa Madini yangu ya Kutukuka ambayo nitawapa tegemeeni Wageni wengi watakaokuja kutizama Michuano ya AFCON 2027 wakang'ang'ania Kubakia Tanzania na Tanzania kusifika Duniani kote.
Andaa mwenyewe. Wakuandalie program ya kufundisha, we nani, Oprah Winfrey ?GENTAMYCINE naomba niandaliwe Program Maalum nchi nzima ya kufundisha Customer Care kwa Watoa Huduma Wote kabla ya kuanza kwa Mashindano haya na nawahakikishieni kwa Madini yangu ya Kutukuka ambayo nitawapa tegemeeni Wageni wengi watakaokuja kutizama Michuano ya AFCON 2027 wakang'ang'ania Kubakia Tanzania na Tanzania kusifika Duniani kote.
Mshaanza majunguGENTAMYCINE naomba niandaliwe Program Maalum nchi nzima ya kufundisha Customer Care kwa Watoa Huduma Wote kabla ya kuanza kwa Mashindano haya na nawahakikishieni kwa Madini yangu ya Kutukuka ambayo nitawapa tegemeeni Wageni wengi watakaokuja kutizama Michuano ya AFCON 2027 wakang'ang'ania Kubakia Tanzania na Tanzania kusifika Duniani kote.
umesema kweli itakuwa shida kabisaGENTAMYCINE naomba niandaliwe Program Maalum nchi nzima ya kufundisha Customer Care kwa Watoa Huduma Wote kabla ya kuanza kwa Mashindano haya na nawahakikishieni kwa Madini yangu ya Kutukuka ambayo nitawapa tegemeeni Wageni wengi watakaokuja kutizama Michuano ya AFCON 2027 wakang'ang'ania Kubakia Tanzania na Tanzania kusifika Duniani kote.
Wangeshughulikia suala la umeme iyo sekta ndo tutatia aibu sn yaan huwez amin
Mshaanza majungu
Madini kutoka chuo cha kataGENTAMYCINE naomba niandaliwe Program Maalum nchi nzima ya kufundisha Customer Care kwa Watoa Huduma Wote kabla ya kuanza kwa Mashindano haya na nawahakikishieni kwa Madini yangu ya Kutukuka ambayo nitawapa tegemeeni Wageni wengi watakaokuja kutizama Michuano ya AFCON 2027 wakang'ang'ania Kubakia Tanzania na Tanzania kusifika Duniani kote.
Pumbavu.Andaa mwenyewe. Wakuandalie program ya kufundisha, we nani, Oprah Winfrey ?
Kujikomba mbele ya mgeni. Third world, dimwitted foreigner-first mentality.
Tunataka customer care kwa manufaa ya Watanzania kwanza, sio wageni wa AFCON. Eff the Afcon, eff the wageni wao.
Acha Kukariri Pimbi na Boya Wewe sawa?Maajabu kweli yaani bingwa wa matusi anataka kuwa mkufunzi wa customer care wakati tunaona tu yeye akiulizwa swali anakimbilia kutukana.
Hapo ndio unataka u customer care mtu usiyekuwa hata na maadili utafikiri mtoto wa mtaani aliyekosa malezi bora ya wazazi, unachojua ni matusi tu.Acha Kukariri Pimbi na Boya Wewe sawa?