Kwa dakika zangu 45 tu za Kuwatizama Kiufundi Raja Casablanca wakicheza na Vipers FC hakika Simba SC tuna Shughuli Pevu tarehe 18/2/2023

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kiufundi na Kiujuzi wametuzidi almost kila Idara hivyo nashauri ili Kupunguza Magoli tukimalizana na Horoya Kesho tukirudi tutafute Waganga wa Kienyeji sehemu mbalimbali ya nchi ili wawapunguze Kasi Raja Casablanca na tujitahidi tufungwe nao Goli chache kwa Mkapa au tutoke nao Sare japo najua kwa Wanavyocheza Kwao tunaenda Kufa nyingi.

Mtizamo wangu huu Ukikukwaza wasubirie wale Wauza Sumu ya Panya wakipita Dirishani Kwako waite ilu Ununue kisha uichanganyie katika Chai yako Unywe Ufe / Ufariki kabisa.

Sipendi Unafiki na nachukia Unafiki kwa Simba SC yangu ninayoipenda na ilivyo hasa kwa sasa tusidanganyane Jumamosi ijayo kwa Mkapa tukicheza na Raja Casablanca tunakufa ( tunafungwa ) hapa hapa kama ambavyo hata Kesho tunapocheza na Horoya FC nakiona Kipigo na kama tutapona basi ni kutoka nao Suluhu au Sare ila kwa Simba SC yangu ya sasa yenye Mapungufu mengi ya Kiufundi nina wasiwasi nayo Kushinda na Kufika mbali CAFCL.

Tafadhali Post yangu itunzwe sawa?
 
Kwani GENTAMYCINE Popoma Mzee wa BAN anasemaje?
 
Hili mbona liko wazi na linajurikana? Yani ushindwe kumsajiri Manzoki halafu uingie gharama kupeleka timu Dubai hapo kuna team IPO serious?

Halafu kichekesho dirisha linafungwa ndio unamleta Manzoki kuwarubuni mwanachama ili wakuchaguwe hiyo ni akili ya wapi?
 
Kazi ipo......!!!!!
 
Wale bongo tutawafunga mseme tumewamwagia madawa vyumbani, na hatufungwi tano.Labda yanga ife.
 
Hili mbona liko wazi na linajurikana? Yani ushindwe kumsajiri Manzoki halafu uingie gharama kupeleka timu Dubai hapo kuna team IPO serious?

Halafu kichekesho dirisha linafungwa ndio unamleta Manzoki kuwarubuni mwanachama ili wakuchaguwe hiyo ni akili ya wapi?
Huyo Mamzoki ni Mungu kusema akiwepo kwenye timu lazima ishinde?
 
Mbaya zaidia majira ya mvua hivyo joto kuwa chini. Hali ya hewa ambayo ni ngumu kwa hawa waarabu ni JOTO tu.
 
Kiufundi na Kiujuzi wametuzidi almost kila Idara hivyo nashauri ili Kupunguza Magoli tukimalizana na Horoya Kesho tukirudi tutafute Waganga wa Kienyeji sehemu mbalimbali ya nchi ili wawapunguze Kasi Raja Casablanca na tujitahidi tufungwe nao Goli chache kwa Mkapa au tutoke nao Sare japo najua kwa Wanavyocheza Kwao tunaenda Kufa nyingi.

Mtizamo wangu huu Ukikukwaza wasubirie wale Wauza Sumu ya Panya wakipita Dirishani Kwako waite ilu Ununue kisha uichanganyie katika Chai yako Unywe Ufe / Ufariki kabisa.

Sipendi Unafiki na nachukia Unafiki kwa Simba SC yangu ninayoipenda na ilivyo hasa kwa sasa tusidanganyane Jumamosi ijayo kwa Mkapa tukicheza na Raja Casablanca tunakufa ( tunafungwa ) hapa hapa kama ambavyo hata Kesho tunapocheza na Horoya FC nakiona Kipigo na kama tutapona basi ni kutoka nao Suluhu au Sare ila kwa Simba SC yangu ya sasa yenye Mapungufu mengi ya Kiufundi nina wasiwasi nayo Kushinda na Kufika mbali CAFCL.

Tafadhali Post yangu itunzwe sawa?
Hata ile kauli yetu ya "kwa mkapa hatoki mtu........." leo mnaikataa au ilikuwa kauli ya Manara?

Huku wenzenu wanatutambia kwamba Vipers na Horoya mnapiga nje ndani wote ,Casablanca kwa mkapa hatoki kwao mnapigwa kidude points 15 hizi hapa.
 
Hao Raja hata kama ni wazuri lakini wakifika Tanzania kucheza na klabu ya taifa, Simba Sports, lazima wawe na adabu.

Siandiki kwa sababu tu za kishabiki, bali huo ndio uhalisia, Simba Sc kwa hapa ilipofikia inatambulika kote Afrika kwa mpira wake.

Vipers huwezi kuwaweka mizania moja na Simba Sc hata kidogo, Simba sasa ni vigogo wa mpira Afrika, wakati Vipers ni watoto, hata suala la muarabu kushinda sio issue, kwani hata Simba nae aliwahi kushinda ugenini...
 
Tatizo la simba kwenye mashindano ya kimataifa ni kwenye set pieces hata goli 5 za al ahly zilikuwa set pieces hata 5 za as vita zilikuwa za set pieces yaani kona au mipira ya kutenga yaani mabeki wetu hawaruki juu na sidhani kama team zetu zina match analyst na kama yupo basi hawafanyi kazi ipasavyo kwasababu manula anafungwa magoli ya aina moja team inafungwa magoli yale kwa mda mrefu na team za uarabuni kwenye set pieces ni hatari sana

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom