Kwa dakika zangu 45 tu za Kuwatizama Kiufundi Raja Casablanca wakicheza na Vipers FC hakika Simba SC tuna Shughuli Pevu tarehe 18/2/2023

Sawa ndugu yangu gentamicin
 
Utawaonea huruma waarabu wako,kama ahly tu alihemea pua moja watakuwa hawa waarabu waliopoteana???huyo vipers ni kibonde tu ndo mana kachukua mkono...raja anakufa kwa mkapa huwa hachomoki mtu kindezi
Kweli Mkapa hachomoki mtu kindezi
 
Utawaonea huruma waarabu wako,kama ahly tu alihemea pua moja watakuwa hawa waarabu waliopoteana???huyo vipers ni kibonde tu ndo mana kachukua mkono...raja anakufa kwa mkapa huwa hachomoki mtu kindezi
Sijui unakumbuka ulichopost au umesahau.
 
Utawaonea huruma waarabu wako,kama ahly tu alihemea pua moja watakuwa hawa waarabu waliopoteana???huyo vipers ni kibonde tu ndo mana kachukua mkono...raja anakufa kwa mkapa huwa hachomoki mtu kindezi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…