Kwa dar ni hospital gani nitapata huduma nzuri ya kuweka meno ya bandia?

viane

Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
79
Reaction score
19
Jamani kwa anayefaham naomba anijuze tafadhali nataka nimpeleke jamaa yngu kuweka meno matatu ya juu.km mnafaham na bei zake naomba kujuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…