kwa dar

kwa dar

musa john

Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
20
Reaction score
9
jamani naombeni kuuliza mimi nipo nje ya dar saboufa aina ya sipiano kubwa ya spika 2 inayokalibia ile ya spika 4 ndefu ni sh ngapi nisaidieni mnaofaham hasa kwa dar
 
huwa zinakuwa specified by watt mkuu. Mfano 60watt, 80watt, 100watt etc.
 
Back
Top Bottom