Elections 2010 Kwa data hizi kikwete lazima ashinde kwa kishindo

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,120
Na 65,000 walipata sifuri...a record since independence...:becky::becky::becky:
 
Wasomi utumia asilimia sio idadi. tuambie hao ni asilimia ngapi ya waliofanya mitihani.

Umeamua kushindana na uongozi wa JF! Mbona mkorofi wewe shekhe?
 
Zamani ulikuwa unamaliza la saba unafaulu lakini huchaguliwi... kwa sababu shule zilikuwa chache na wenye pesa walikuw wanahonga watoto wao waingie shule...

Sasa hivi hizi shule za kata hazina qualifications, kila anayemaliza la saba lazima ajiunge na shule ya kata... amefaulu au amefeli...
 
Wasomi utumia asilimia sio idadi. tuambie hao ni asilimia ngapi ya waliofanya mitihani.

78% ya wahitimu walipata sifuri au 4 ambazo hazibebeki popote duniani. Hupo hapo?
 
Wasomi utumia asilimia sio idadi. tuambie hao ni asilimia ngapi ya waliofanya mitihani.

Shekhe dubo bwana
Suala la usomi linaingiaje hapa? And who is msomi according to your standards?
 
Anashindana na JF Admin eti yeye zaidi!

Huyu inabidi wampotezee moja kwa moja
Nilicho gundua kuna watu wanamfadhiri analipwa kutokana na post asipo post watoto wake watakuwa hawaendi msalani.
 
Kuna msemo mmoja unasema " the dog who is about to die, will never listen to his masters whistle", Vuvuzela origina na watanzania wengine ambao pamoja na juhudi zote ambazo zinafanywa na watu mbalimbali humu JF kuwafungua macho na kujaribu kuwaonesha picha halisi ya shule za kikwete ( kambi za kuwa MIMBA mabinti), lakini bado hawataki kuona ni sawa na Mbwa atakye kufa , hawezi sikia mluzi wa bwana wake! na CCM ndio inawapenda watu kama huyu!
 
Wasomi utumia asilimia sio idadi. tuambie hao ni asilimia ngapi ya waliofanya mitihani.

Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa Oktoba 7, mwaka 1950 katika Kijiji cha Msoga, Wilaya ya Bagamoyo/Sumbawanga Mkoani Pwani. Ni mtoto wa sita katika familia ya watoto tisa. Wazazi wake ni Halfani Mrisho Kikwete (Baba) na Asha Kayaka (Mama) ambao wote wametangulia mbele ya haki. Alipata elimu ya msingi (darasa la kwanza hadi la nne) mwaka 1958-1961 katika Shule ya Msingi Lugoba na katika Shule ya Kati ya Lugoba (darasa la tano hadi la nane) mwaka 1962-1965.
 
Shekhe dubo bwana
Suala la usomi linaingiaje hapa? And who is msomi according to your standards?

Msomi is a person who can can explain things intelligently, the one who analyses data not just presenting them like a lay man.

Gazeti la alnuur haliwezi kuwa gazeti la CUF, CUF is much more smart than that.
 
Wasomi utumia asilimia sio idadi. tuambie hao ni asilimia ngapi ya waliofanya mitihani.

Nimekuelewa ila kuwa makini na asilimia pia. Ndio maana nakubaliana na wewe aseme wangapi walifanya mtihani. Kwa mfano wagekuwa wanafunzi 4 darasani, 3 wakafaulu. Hapa kwa ujanja mtu angekwambia asilimia 75% bila kukuwekea namba. So muhimu akupe namba alafu wewe uanalyse mwenyewe. Big up!
 





 

As the name of a person means, so the person.
 
mtoto aliyefaulu shule za msingi dar es salaam ni yule anayepelekwa katika sekondary zifuatazo: jangwani, azania, zanaki,kibasila, kisutu. the rest wanapelekwa dampo schools kuondoa usumbufu mitaani.
wasema ni wangapi waliokwenda shule hizo ndipo nitakubaliana nao!
 

Are you living in Tanzania? Schools without teachers whom should we blame when students fail? Those awkward Voda Fasta teachers sometimes none, in Mushroom schools, no electricity, desks and other services, What the hell! Claiming every student will be having a computer in those kind of shit, Ashkhum si matusi.

Back to the thread, all those data (Raw data) are compared amongst CCM regime. Wake up people, we want an overhaul of the whole system (CCM) but not Kikwete. The fight is for real and we are determined if not 2010 one day yes we will win the battle and enjoy the "Independent and True Tanzania". We are tired of illusions. God Bless us All.
 
Hizi shule za kata ni kichekesho kitupu. Nadhani ni mahali ambapo watoto wanapelekwa wakazuge ili nao waonekane wapo shule. Kuna dogo moja ndugu yangu alikuwa darasa la saba nilikuwa nikikutana nae kwao nampiga maswali ya kumchemsha bongo. maswali kama, 25X5 ngapi? Ziwa Manyara liko upande gani TZ? Yote hayo anachemsha. Shangazi yangu akashauri arudishwe darasa lakini yule mtoto alikataa. Na nasikia amefaulu shule ya kata! Kudadeki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…