Watu walioko chuoni ni watu wazima. Kama kuna mtu ana cheat kwa kutumia ChatGPT kujibu maswali basi anakuwa anajidanganya mwenyewe. Anyways, kwa nchi zilizoendelea hili siyo tatizo kwa sababu elimu yao siyo ya kukariri na kushinda mitihani. Tanzania labda ndiyo itakuwa janga.Just image miaka yote ya chuo wanafunzi au mwanafunzi anatumia chagAI kujibu assignment hajawahi ata siku moja kushughulisha akili yake kusoma vitabu library hio degree itakayokuja kuzalishwa hapo asee 😁😁 sijui tu.
Hakuna kuingia library watu ni copy na paste reference ni google basi
Waajir huko makazini vipi ??
Kuna mwanachuo kashinda kuelezea inflation ni kitu gani ila kwenye assigment kapata 8/10
NB; CHINA KUPIGA MARUFUKU HII KITU WALIONA MBALI TUIGE WACHINA SERIKALI IPIGE MARUFUKU MATUMIZI YA AI VYUONI
Huyo ni zumbukukuJust image miaka yote ya chuo wanafunzi au mwanafunzi anatumia chagAI kujibu assignment hajawahi ata siku moja kushughulisha akili yake kusoma vitabu library hio degree itakayokuja kuzalishwa hapo asee 😁😁 sijui tu.
Hakuna kuingia library watu ni copy na paste reference ni google basi
Waajir huko makazini vipi ??
Kuna mwanachuo kashinda kuelezea inflation ni kitu gani ila kwenye assigment kapata 8/10
NB; CHINA KUPIGA MARUFUKU HII KITU WALIONA MBALI TUIGE WACHINA SERIKALI IPIGE MARUFUKU MATUMIZI YA AI VYUONI
China imezuia hii kitu mkuu effect yake ni kubwa mnoWatu walioko chuoni ni watu wazima. Kama kuna mtu ana cheat kwa kutumia ChatGPT kujibu maswali basi anakuwa anajidanganya mwenyewe. Anyways, kwa nchi zilizoendelea hili siyo tatizo kwa sababu elimu yao siyo ya kukariri na kushinda mitihani. Tanzania labda ndiyo itakuwa janga.
Akili inalemaa mwisho wa siku unafika kazini unambiwa fanya maintainance ya hii mashine unashindwa na unamasters yako asee aibuMashine zenyewe ni computerised, zinafanyakazi kama hzo search engine zilivyo kwahiyo, lazima mitaala iboreshwe iendane na wakati uliopo,
China nao wanaibia mitihani sana. Mimi nilisoma Ulaya, mnafanya mtihani leo kama kuna mtu hayupo, wiki ijayo anakuja na kupewa mtihani ule ule. Siku moja jamaa kutoka Afrika akamwambia mwanachuo mmoja kama anataka ampe mtihani tuliofanya (alikuwa hayupo siku tunafanya mtihani) akakataa kabisa, akasema atakuwa anajinganya mwenyewe.China imezuia hii kitu mkuu effect yake ni kubwa mno
ChatG AI ni kitu kibaya sana katika taaluma maana unakuwa partially sana kwenye kaziWakati wamegundua kuandika watu wakubwa kama Socrates walisema kutalemaza watu, watashindwa kuweka kumbukumbu. Walipogundua kuchapa walikuwepo waliopinga na kusema kuandika kwa mkono ndiyo Bora. Walipogundua documents za kidigotali walikuwepo waliodai kizazi kinaenda kuangamia na kulemaa, na kuwa hardcopies ndiyo nzuri kwa binadamu. Historia inatuambia kuwa mambo yanazidi kuwa mazuri na rahisi.