Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

Uchambuzi yakinifu:
1. Ili "linyimbo". - kwake yeye huu ndo wimbo mbovu zaidid
2. La "mwaka 47" - kakuona wewe ni old school hujui kinachoendeleA duniani
3. Emoji 😬- hapa alikua ameshaanza kukucheka lakn anajishtukia atakuumiza moyo.
4. Emoji 😂- hapa alishindwa kujizuia akajikuta anasema in Aggrey Mwandyz voice "liwalo na liwe" akaamua kutwanga cheko kubwa sana la kwikwi kabisaaa
Bwana singasinga we vua ushungi kabisa umtandike mitama. Kujiengua hakutoshi! Je ungecheza kihindi ingekuaje?
 
Mkuu mbona mambo mepesi sana hayo? Mwanaume hutakiwi kuwa too sensitive na kama umeumia either utasema au utapotezea tu.

Kwenye hiyo situation ingetegemea ila kama nimepanga kumuumiza basi ningemwambia "labda sababu sura yako ni kama ulizaliwa mwaka 47" hii sentensi fupi ingemuwinda mwaka mzima. Na kama nimepanga kupotezea basi ningemwambia "kwa ajili yako ningefanya chochote ikiwemo kwenda kununua pete mwaka 47" then imeisha hiyo maisha yanaendelea.

Jifunze kuwa adaptable na kuimprovise mambo au maisha yatakuwa magumu sana kwako mzee, hasa kwa akili za wanawake na mkiwa ndani ya ndoa. Alafu huyo kwa mwandiko wake lazima atakuwa mlokole sio romantic kabisa.
 
Hiyo ni ishara kwamba ni mtu mwenye dharau sana,kakosa hekima hata ya kinafki kushukuru maana nlimtumia kwa upendo wote.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Dah! mkuu me malezi nlokulia niya kuthamini sana hata upendo wa aina yeyote nnaotoa au kupokea

Heri unifanyie lolote ila sio dharau za wazi

Huyu inaonesha ukimuweka ndani yale maisha serious yakaanza ntaua.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…