Kwa Division four point 32 anaweza kuendelea na Form V?

Kwa Division four point 32 anaweza kuendelea na Form V?

R100

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
337
Reaction score
81
Kuna mdogo wangu nimempeleka shule ya private, form five kwa iyo dision four je kuna tatzo ingawa ana credit tatu.

MSAADA TAFADHALI YANI NIKO NJIA PANDA JAPOKUWA DOGO ANAENDELEA KUSOMA.

Nawasilisha.
 
Sifa za kujiunga na form five kwa mujibu wa necta ni kuwa na credit 3 .wengine watachangia.
 
Kwa BRN hakuna lisilowezekana

Hayo madaraja mapya mi siyaelewi kwa kweli
enzi zangu point 32 hata jeshin kwenda inshu
 
Sifa za kujiunga na form five kwa mujibu wa necta ni kuwa na credit 3 .wengine watachangia.
kwa maana hiyo tusiangalie division tuangalie credit?
 
kwa maana hiyo tusiangalie division tuangalie credit?

Mkuu hizo ni taratibu za necta kwamba kama una credit 3.Kabla ya mfumo mpya wa alama ulikuwa unaruhusiwa kujiunga na private school yoyote ufanye paper ya A LEVEL.Sijasikia kuwa wamevadilisha maana cku hizi mkuu hii nchi haieleweki. ( kupata selection ya serikali ndo ilikuwa ngumu maana walikuwa wanaangalia waliofaulu vizuri na waliobalance comb.)
 
Back
Top Bottom