Mkuu hizo ni taratibu za necta kwamba kama una credit 3.Kabla ya mfumo mpya wa alama ulikuwa unaruhusiwa kujiunga na private school yoyote ufanye paper ya A LEVEL.Sijasikia kuwa wamevadilisha maana cku hizi mkuu hii nchi haieleweki. ( kupata selection ya serikali ndo ilikuwa ngumu maana walikuwa wanaangalia waliofaulu vizuri na waliobalance comb.)