Kwa Dunia ya Sasa DNA ni muhimu. Msipuuze!

DNA ni Hatar itasababisha vilema kwa wapendanao
 
DNA test lengo ni kudhibiti (ku-control) mtu/watu.

Biashara ya kudhibiti watu Mungu mwenyewe aliamua kuachana nayo akatupatia amri 10 ili tupambane nazo..hukumu baadae.

Endelea na matumizi ya DNA test ili uteseke maisha yako yote.


Lengo la DNA test ni kuthibitisha uwiano/ mfanano wa vinasaba baina ya mtu na mtu
 
NNi
Ni kweli mkuu!Ila inauma
 
Kwa mila yetu kitanda hakizai haramu
watoto wanaozaliwa kwenye ndoa wote hata kama wanafanana na jirani ni wa mbaba aliyelipia mahari. full stop
Ukifanikiwa kumrudishia mtoa mahari ,. unabeba na watoto woote hata kama wapo sita
 
Nchi za wenzetu unaruhusiwa kupima dna , maximum miaka 2 baada ya mtoto kuzaliwa, baada ya hapo huruhusiwi, maana hawataki kuwaumiza watoto

Hawa jamaa Wamagharibi wapo vizuri, utamaduni wao umedogodesha mambo ya Imani na kuweka kipaumbele kwenye productivity na profitability.

Wanajua nini wafanye lini na wameandika na wanafuata hayo maandishi sisisi.

Huku kwetu sasa, imani kali kali, production hakuna, profitability haipo hapo hapo tunayataka mambo ya kimagharibi tuyapokee, tuyameze kama yalivyo bila kujali utamaduni wetu, ustawi wa jamii yetu wala uchumi wetu wa Kati.

Noma
 
Kwa mila yetu kitanda hakizai haramu
watoto wanaozaliwa kwenye ndoa wote hata kama wanafanana na jirani ni wa mbaba aliyelipia mahari. full stop
Ukifanikiwa kumrudishia mtoa mahari ,. unabeba na watoto woote hata kama wapo sita


Sio Kwa Zama za leo Mkuu za mchanganyiko wa Makabila.

Hiyo ilitumika zamani wakati hakuna kuoleana makabila
 


Sina mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…