Kwa dunia ya sasa, ni vigezo vitumike kumfahamu mke mwema?

Kwa dunia ya sasa, ni vigezo vitumike kumfahamu mke mwema?

Pasta Joshua

Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
14
Reaction score
110
Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika.

Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵

Sasa hivi kuna Rice cooker,dish washer
na makorokoro kibao ya kisasa yanayomfanya Mwanaume kupunguza utegemezi kwa jinsia KE.

Utelezi nao unapatikana kirahisi Mnoo miaka ya 90s kuona paja la mwanamke ,ziwa na viungo vingine ilikuwa aghalabu sana,sasa hivi uroda ni main hustle kwa dada zetu wengi hapa mjini🫵

Ni vigumu sana kupata mke mwema nyakati hizi,Shetani kava sketi.
 
Ni kweli ni vigumu kupata mke mwema kama ulivyosema kutokana na utandawazi,malezi mabovu,marafiki na makundi rika,kutoweka kwa hofu ya Mungu miongoni mwa walio wengi na kadhalika lakini uwezekano upo maana siku zote neno la Mungu ni hai nalo linatuasa mke mwema hutoka kwa bwana,,,hivyo basi kumtanguliza Mungu ni muhimu sana katika kila hatua maishani mojawapo ikiwa ni ndoa maana ni kitu kitakatifu kuliko wengi wafikiliavyo
 
Sio vigumu hivyo kupata mke mwema mwenye maadili.
Ila kwa kupitia marafiki, ndugu, wazazi Utapata tu
 
Kabla ya kuoana wakati wa uchumba ni wakati mzuri wa ugunduzi. Uchumba uwe mda mrefu kiasi kwamba makucha kuyaficha sio rahisi. Omba na mizimu ikusaidie. Waafrika msidharau mizimu yenu.
 
Kabla ya kuoana wakati wa uchumba ni wakati mzuri wa ugunduzi. Uchumba uwe mda mrefu kiasi kwamba makucha kuyaficha sio rahisi. Omba na mizimu ikusaidie. Waafrika msidharau mizimu yenu.
Nimecheka sana mkuu hii hii mizimu Unaota unadinya dada yako
 
Back
Top Bottom