Kwa engineers walio graduate UDSM wanaotaka kufanya kazi Australia

Kwa engineers walio graduate UDSM wanaotaka kufanya kazi Australia

Tai Ngwilizi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2010
Posts
781
Reaction score
211
Kwa wale engineers waliograduate UDSM within last 2 years, waweza kuapply hii visa, kwa sasa Australia inachukua ma injinia kutoka baadhi ya vyuo nje ya Australia...ndani ya Africa vyuo ambavyo ni recognised ni vinne, vitatu vya South Africa na UDSM. Wale wenye interest, kwa habari zaidi angalia hii link

Skilled - recognised graduate (temporary) visa (subclass 476)

Skilled – Recognised Graduate (Temporary) visa (subclass 476)
 
Lakini sio waende huko, afu waanze kubebeshwa mabox...
 
Nilikutana na engineer aliyegraduate Iran, anafanya kazi Perth, yeye anasema alifanya applications zote akiwa Iran, baada ya kupata visa alitumia agent kupata kazi na hakuhamia australia mpaka alipopata kazi, . Ilimchukua muda kupata visa (processing time ni miezi 7 ) na agent alimtoza hela nyingi lakini alimudu kumlipa kwa sababu kazi aliyopata inalipa vizuri.

Iwapo kazi yenyewe ina faida za maana (ujuzi, kipato etc), na kuna uwezekano wa kupata hiyo visa hata kazi mtu akiwa TZ basi inaweza ikawa option kwa wale wenye interest. Nakubali kabisa kwamba haina maana yoyote mtu kuacha kazi yake ya uinjinia Bongo (hata kama haimpi faida inayomridhisha) kwenda kumanga manga na mabox kwenye nchi za watu.
 
Back
Top Bottom