Kwa faida ya afya na usalama wa kila mwanamke

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Kwa faida ya afya na usalama wa kila mwanamke.

Wasichana 56 wanafariki dunia kila siku kwa ajili ya matumizi ya kipande ki1 cha pedi ya kuwa inasababsha kansa katika kibofu na kizazi.

Jaribu kutmia vitambaa na iwapo unatumia pedi basi badili kila baada ya masaa5.

Kwasababu kadiri muda unavozdi damu hubadilika na kuwa ya kijani ambayo hugeuka fangasi na kuingia katika kizazi.

Share ujumbe huu kwa wanawake wote unaowapenda.

Dr. Ambiele.......
 
kutumia pedi kwa masaa matano ni sawa kabisa tusiwe wabahili, kutumia vitambaa mkuu hapana hadi nimesisimka ila asante kwa ushauri
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Et umesisimka.....!!!!!

Nimecheka Had Co Ananiuliza Kuna Nin....??

Bt watu wanatofautiana maisha Mama angu
 
Mmh kitambaa jaman si salama. Kama mtu kashindwa badilisha ped ndan ya masaa matano hicho kitambaa si atashinda nacho kutwa nzima.
 
Vitambaa siwezi kufua aisee bora kubadili pedi kila saa ike damu hunuka vibaya mnoo
 
Inabidi tuongee na wizara ya afya ili tupunguziwe bei ya pedi atleast wafanye kuuza elfu moja ili kila mtu awe na uwezo wa kununua hasa Human Cherish ndio zipunguzwe bei wote tuweze kuzivaa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…