Kwa faida ya afya na usalama wa kila mwanamke


Andika Kiswahili ili ueleweke, naona bado utoto unakusumbua sana kwa kuandika vitu vya hajabu?
 
Ni bora kutumia kwa masaa machache.... na kwa wale ambao damu hutoka nyingi hata masaa ma3 badilishaa na pia inashauriwa kutumia pamba unayoviringisha kwe kitambaa......
Ila kutumia vitambaa ni kipaji [emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…