nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
wananikera sana watu wale ambao kucha wana-discuss habar ya koz wanazosoma.vyuo walvyosoma nk.vjana mlioko chuoni fanyen mambo ya msing yaliyowaweka sio ubora wa sehem unayosoma.kuna watu wamesoma vyuo flan vnavoitwa vya kata lakn leo n watu wakubwa