Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko.
mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa mwanzoni hivyo hilo kosa linawadhuru na watoto.
Kuna kisa humu mwana jf aliweka uzi baba yake ni ana pesa nyingi ila hawajali tena wao na mama yao tangu aongeze mke, hata akitoka safari za nje ya nchi hawaletei zawadi yoyote, Nyumba ya familia ya kwanza ina hali mbaya huku ya pili wanishi kwenye mjengo mitaa ya kishua, n.k.