Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko.
mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa mwanzoni hivyo hilo kosa linawadhuru na watoto.
Kuna kisa humu mwana jf aliweka uzi baba yake ni ana pesa nyingi ila hawajali tena wao na mama yao tangu aongeze mke, hata akitoka safari za nje ya nchi hawaletei zawadi yoyote, Nyumba ya familia ya kwanza ina hali mbaya huku ya pili wanishi kwenye mjengo mitaa ya kishua, n.k.
Bora hata waislamu wanahalisha kwa kuoa kila mtu anajua status yake na haki zake, kuliko mtu anakuwa na vimada na watoto wengi mtaani baadae unaacha vita tu
Hio ni ngumu sana kutokea, mke wa pili anavutia kamba kwake apate kila kitu furaha yake mke wa kwanza akose kila kitu.Dini inataka usawa kwa wote,ukiona hivyo huyo ni mhuni kama wengine tu.
bado matatizo yatatokea tu baina ya familia mbiliPia inategemea na sababu za kuongeza mke, kuna mapenzi na kuna shinikizo ama vikwazo.
Yote kwa yote, hiyo hofu huwafanya wake wakubwa kuwa na heshima ili asiletewe mweziwe..... kuoa mke mmoja tu ni kitanzi.bado matatizo yatatokea tu baina ya familia mbili
Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko.
mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa mwanzoni hivyo hilo kosa linawadhuru na watoto.
Kuna kisa humu mwana jf aliweka uzi baba yake ni ana pesa nyingi ila hawajali tena wao na mama yao tangu aongeze mke, hata akitoka safari za nje ya nchi hawaletei zawadi yoyote, Nyumba ya familia ya kwanza ina hali mbaya huku ya pili wanishi kwenye mjengo mitaa ya kishua, n.k.
Mtume ameruhusuNa mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko.
mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa mwanzoni hivyo hilo kosa linawadhuru na watoto.
Kuna kisa humu mwana jf aliweka uzi baba yake ni ana pesa nyingi ila hawajali tena wao na mama yao tangu aongeze mke, hata akitoka safari za nje ya nchi hawaletei zawadi yoyote, Nyumba ya familia ya kwanza ina hali mbaya huku ya pili wanishi kwenye mjengo mitaa ya kishua, n.k.
Duh mnakazi tena kama ana tako.Kaka angu anataka kuoa mke mwingine tupo tunamzuia sijui kama tutaweza maana mtoto pisi kali toto la kitusi
mchepuko hawezi lingana na mke hata yeye anajua hilo, hapigi simu ovyo ukiwa na wifeKuna Watu wana mke mmoja tu, lakini nyumba ndogo na watoto wa nje unajaza Fuso.