Kwa fashion Wema amechemka kwa kuvaa gauni style moja, japo anabreak internet

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
by 8020fashionsblog
Wema jana mida ya saa nne usiku hivi alipost picha zake akiwa amevaa this dress kutoka kwa Mac Couture akiwa anaiita hii gauni master piece.
The dress is not a master piece ni gauni ya kawaida tu ambayo kwanza Wema ameshaivaaa,i though Mac atakuja na new goodies maana haya magauni tumeshaona sana its not even cute anymore.
The unambiwa it took him two years kutengeneza hii gauni OMG two years and you came up with this dress????Hunnay una fail big time.
Angle ya picha nayo imemfanya Wema aonekane kama kifutu am not hating ndo ukweli
wpml_cool.gif
wpml_cool.gif
wpml_cool.gif
wpml_cool.gif
wpml_cool.gif
wpml_cool.gif

the fabric ilijitaji kunyooshwa zaidi imtoka na mikunjo hii haimaniiishi hajapendeza ,nilipenda make up and hair
She wore this dress from Elisha Red Label mwaka jana tofauti ni fabrics na mshono hii chini haujajaaa sana

Yaaani hadi pose ni zile zile
Bongo designers YOU CAN DO BETTER
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif
wpml_cry.gif

Ningekua mwanaume ningefanya kila njia nione live kwa ndani,, hiyo O hapo chini ya kiuno😀😀
 
Umenifurahisha sana wewe ni sawa na Mchepuko wangu ambaye anadai ‘sisi acha tutunze ili wengine waje wafaidi’ huwa namkanya maana hata yeye mama yake aliitunza ila Mimi na mijamaa ndiyo waliifaidi na tunaifaidi bila ya kuitunza! Ungelikuwa dume ungekula ngapi? Nyingine kama ya Mzigua90 unaachia wenzako wafaidi kwa raha zao
 
Hahaaa,,ningehakikisha naona ya wema kwanza,,shepu tu mana ninauhakika ila shepu ndani haiko vile
 
Sijui ni lini watz tutakuwa tayari kuachana na wivu wa kipumbavu? Why are we not ready to call a spade a spade? It's no wonder yule mbabe katuita shimo la noniiino
 
We nae ,kwendraaaaa huyo kifurushi Wema aonewe wivu kwa lipi ?
 
Hahaaa,,ningehakikisha naona ya wema kwanza,,shepu tu mana ninauhakika ila shepu ndani haiko vile
nguo huwa zinawastiri watu mkuu akizivua pale minyama unaikuta inamichirizi utasema kitabu cha atlasi kilicho chorea ramani ya dunia
 
Sa hivi hata kwenye nguo havutii,,km kwenye party ya wcb,hips zilikua km shape ya tofali
 
Back
Top Bottom