kwa first year COET

martinum

Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
12
Reaction score
1
kuna msemo wanasema maisha ya chuo ni bata sio kama advance,sijui kwa coz zingine ila kwa coet ukiamini huo msemo utaumia tena unaweza ukaingiza sup za kutosha tu,kwa coet msuli unaitajika tena kuna mda mwingine unazidi hata ule wa advance ,kuna week kazaa za mwanzo za kurelax baada ya hapo................,nazan mtaona mkifika
 
Thanks kwa taarifa .. Duh bata zishanipita kando .. For 4 years msuli wa kiadvance, mbona hapatoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…