GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 May 24, 2024 #1 Na uzuri pia wa Kibwana Shomary kwa Sisi wana Morogoro tunamjua kuwa ni mwana Simba SC lia lia hivyo atafaa tu.
Na uzuri pia wa Kibwana Shomary kwa Sisi wana Morogoro tunamjua kuwa ni mwana Simba SC lia lia hivyo atafaa tu.
chama konokono Senior Member Joined Apr 27, 2023 Posts 103 Reaction score 226 May 24, 2024 #3 Scouting ya Simba huwa haitafuti wachezaji wengine maeneo mengine ya Afrika zaidi ya hawa hawa ambao tumeshawazoea na hawana maajabu?
Scouting ya Simba huwa haitafuti wachezaji wengine maeneo mengine ya Afrika zaidi ya hawa hawa ambao tumeshawazoea na hawana maajabu?
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 May 24, 2024 #4 Mayele sawa.. Kibwana, achana nae, nenda kachukue kelvin kijiri... Bonge moja la RB ni achraf hakimi mtupu.
Mayele sawa.. Kibwana, achana nae, nenda kachukue kelvin kijiri... Bonge moja la RB ni achraf hakimi mtupu.
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 1,721 Reaction score 6,037 May 24, 2024 #5 The Jack of all trades, the master on none
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 May 24, 2024 #6 Ni wivu TU KAZI ni kipimo cha UTU
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 May 24, 2024 #7 Mnataka Mayele aje ateteme? 🤣 🤣 🤣 🤣 mkimpata muishukuru sana Yanga.