Biggie is so gifted that he has no flaws at all...2pac is just a very serious compser and charsmatic speaker and leader...ila tukisema music art as art,Biggie is rated as number one G.O.A.T...flow yake huipati kokote even on this generation...Biggie would last longer in the market than 2pac,seriously.......yaani kama ni darker,gangstarr stuff,ni doper than Pac,kama ni smoother stuff ni doper than Pac..R.I.P Biggie and Pac
Pac ni mfalme kwa kila kona ya hiphop,alitimiza nguzo zote za hiphop big ni boya tu kwa pac!
Pac ni mfalme kwa kila kona ya hiphop,alitimiza nguzo zote za hiphop big ni boya tu kwa pac!
kama ku flow tu fine sasa mie nafikiri hiyo ni category ndogo sana ukitaka kuwalinganisha watu,pac was much in lyrics and other kind of staff......ukisikiliza interview ya biggie baada ya kifo cha pac anakiri mwenyewe kuwa pac anasema nimemwibia tungo zake ukweli ni kwamba" ushauri alokuwa ananipa ndo niliotumia kutengeneza biggie small ready to die"naye namkubali pia
Tukiachilia mbali suala la ujumbe waliokuwa wanautoa na tutege sikio kusikiliza muziki wao na hasa flow, naona BIG alikuwa mkali zaid ya PAC....Kiukweli wangekuwepo had kizazi hiki cha rap, kwa 'swagger' za kuflow BIG angestahili heshima ya nyota 5 na PAC * 4, Heshima kwao...R.I.P to all the great hip hop legends!

Ah wewe pac habari nyingine kabisa. Nini biggie kwa pac bana.
1. Nani alikua ana hit singles nyingi zaidi?
2. Nani aliuza nakala nyingi zaidi?
Nadhani ukijibu haya utajua nani alikua na flow ya hatari zaidi. Jibu liko wazi ni pac.
Afu wasema flow ya big huipati kwa mtu yeyote yule, kivipi? Kwamba ilikua unique sana? Wamkumbuka shine? Mbona katembelea flow ya biggie kwa sana tu?
Heshima yako mkubwa kweli we mdau wa hiphop,me mwenyewe napenda sana BIGflows kuliko PACflows.All in all wote ni malegends R.I.P big,pac