kwenye pepa moja unaweza kuta majimaji war,mfecane war,Neo colonialism kwa hiyo hilo lisikupe shida we jadili mada tu infact zote zilikua game za wiki hii na pia zote ni LIGI YA UEFA.mbona mada mbili kwenye uzi mmoja mdau lengo ni kuluz kwa psg au arsenal be specific
Mwendo wa mateka. Viva barcaningeshangaa kama usingekuja kutema pumba[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu umeharibu kuweka neno PUMBA tu ila ol in ol ndo mambo ya ushabiki hayo najua hapo ni fight&flight mood,ila hako kawimbo nooma hebu fanya kunisambazia kwa watsaps Jana mtu kala mikono juu mwendo wa mateka.ningeshangaa kama usingekuja kutema pumba[emoji23] [emoji23] [emoji23]
fact man pia anabebwa anaebebeka kuna watu kwa kua timu yao haipo uefa wanataka kila kitu kibaya kiwe kwa,baca na kitu kizuri kiwe kwa madrid mambo yapo tofauti sanaAh mambo hayo, hivi hata pale Cavan alipokosa kufunga goli akiwa yeye na kipa ni kulindwa kwa Barca. Na pale Di Maria alipokosa kufunga akiwa yeye na kipa kwa mbwembwe za kutaka kuchop ilitokana na kulindwa kwa Barca. PSG kwa Barca bado.
ile ilikua too much mkubwa japo walikua wanasema Webb anatubeba ila yule wa jana ni zaid ya Webb ndo ile kauli ukisimama nchale ukikaa nchale wachezaji wa Barca jana walikua ni special cases hakuna kuguswa wala kukabwa.Naona Mashabiki wa Man Utd mnaumia sana Jana Barca kushinda, kama mnahisi refa anatubeba basi next time nawashauri nyie muwe marefa bas
Wewe uliona di maria alichofanyiwa na beki?Ah mambo hayo, hivi hata pale Cavan alipokosa kufunga goli akiwa yeye na kipa ni kulindwa kwa Barca. Na pale Di Maria alipokosa kufunga akiwa yeye na kipa kwa mbwembwe za kutaka kuchop ilitokana na kulindwa kwa Barca. PSG kwa Barca bado.