Kwa Game ya Jana hakuna Mchezaji wa Barca aliyeruhisiwa Kukabwa wala Kuguswa.

Ah mambo hayo, hivi hata pale Cavan alipokosa kufunga goli akiwa yeye na kipa ni kulindwa kwa Barca. Na pale Di Maria alipokosa kufunga akiwa yeye na kipa kwa mbwembwe za kutaka kuchop ilitokana na kulindwa kwa Barca. PSG kwa Barca bado.
Bado watakwambia barca anabebwa
 
Tatizo watu mnashindwa kukubali matokeo mbona Unai yy kakili kuwa barcelona iliwazidi kimchezo na walistahili kushinda,kama kweli walikuwa hawaguswi mbona akina pique,suarez,busquete walionesha kadi za njano tufikie mahala tuwe tunakubali uwezo wa mpinzani wako
 
Reactions: PNC
Penati ya kubebwa ni ile ya Suarez tu hayo mengine ni uzembe wa psg. Huwezi kuwa na advantage ya goli 4 afu akatolewa na kusingizia refa.
Mkuu ucseme ya kubebwa... Sema aliitafuta.... Roben aliwah kuitafuta penalt kama hiyo.. wakat Holland wanacheza na Mexico huku Mexico wakiwa wanaongoza 1-0 mpaka dk.ya 90. World cup 2014... Nilijua safari ya waholanz imefka..lakn robben alipo Pata chance ya kuguswa alidondoka... Likawekwa Tuta.

Hil watu hawakulipigia kelele kwa sababu ya man u wengi walishabkia Holland.....waliona kawaida...Sasa turud kwa Suarez..,

Suarez faul alichezewa ila ilikua very technical faul...ameshakua mbele ya bek na makosa ya bek anafanya obstruction ya mwil wa Suarez kwa kumuwekea konga kwenye shingo ya Suarez....the moment alivyo weka too Suarez nae anaenda chin that means forward mwenye hakir anaenda na move ya faul
 
Mkuu yellow kad 5 kwa barca na 5 kwa psg... Umeandika uzi huu ukiwa na Data ama ushabk
 
Keshakosa goal....yaan alieupga mpira nje n Di Maria na sio bek ndo maana haikua kona....Di maria alikua ana uwezo wa kumaliza game pale
Tatizo sio kupiga nje ebu rudia kuchek sehem iyo utanielewa
 
Tatizo sio kupiga nje ebu rudia kuchek sehem iyo utanielewa
Aisee nmerudia sana...Di maria keshaharibu mpira wake ndo mascherano anamgas...nakushaur uangalie upya..je n mguu wa mascherano. Uliotangulia kabla ya mpira ama n mpira kabla ya mascherano contact...

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu yellow kad 5 kwa barca na 5 kwa psg... Umeandika uzi huu ukiwa na Data ama ushabk
nafikiri ukisoma hiyo habari utapata jibu tena imekuja baada ya mimi kupost hii mada.
Sasa kama Mkuu wa Marefa UEFA Collina kaona Makosa vipi mimi na wewe
 
Muanze kumchangia na Ndugu yenu sasa manake kuna hatari ya kupigwa Ndondo cup ya Ulaya akachezeshe huko mechi za Faru jeusi
 
ningeshangaa kama usingekuja kutema pumba[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Naona Collina naye kasoma hii Pumba mkuu jamaa ndo huyo anatupwa Ndondo cup wenzetu hawapindishi Sheria bana ila kwa pesa Barca waliyompa anaweza kuanzisha Genge.
 
Na mbona wazungu wamefanya mambo yamekua rahisi sana nenda Google translator utalipata tuu.Ila vyema kama ungesoma habari yote
 
View attachment 479706 nafikiri ukisoma hiyo habari utapata jibu tena imekuja baada ya mimi kupost hii mada.
Sasa kama Mkuu wa Marefa UEFA Collina kaona Makosa vipi mimi na wewe
Mkuu hizo n habar za wadaku uingereza na pro.Madrid....hyo taarifa nmeshaiona mda mrefu sana kabla hata cja comment kwenye uzi wako...Collin anasubiliwa kutoa maamz lakn pia ifantino amesha Sema refa sehem ya sheria 17 za football...wajureman wakaenda mbele kwa kusema maamz ya refer yalikua zaid....so wala uctishke kabsa
 
Hivi kati ya game ya leo naya jumatano ipi ilikua ya kuongeza dk 5 all in all Hongereni D. La Coruna
 
Naona Leo ameshindwa kufanya hayo mbele ya beki za deportivo La Coruna
Bado watakwambia barca anabebwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…