marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Kwenye movie za Marvel nimeona Villains wa bad wengi sana kama vile Loki , Dr Doom Kang the conqueror na wengine kibao.
Ila hawa wote wachumba tu kwa Thanos, mwamba aliwapa shughuli pevu Avengers mpaka kusababisha Kifo Cha Tonny stak(Iron Man) ni huyu jamaa THANOS mwamba kabisa.
Mchizi aliwapelekea moto haswa avengers na kimsingi walisha mshindwa(Avengers Infinity war),
mpaka walipo travel through time kwenda back in time, ku change past.
Concept ambayo mwisho wa siku , hawaku undone walivyo pelekewa moto na Thanos Bali wali change reality na kwenda kwa Thanos wa reality tofauti.
Hivyo Thanos wa reality Ile ya Avengers Infinity war, na yule wa End game ni thanos Tofauti. Concept ya Time paradox ina apply hapa,
Samething Kilicho mkuta Bally Allen (Flash ) alivyo jaribu kwenda back in time ku avoid mama yake kuuliwa na reverse flash , akajikuta kwenye Reality ambayo sio yake (Watch Flash movie 2024)
So Avenge hakuna walicho Fanya zaidi ya kumkimbia Thanos alie wa pelekea moto na kwenda kwa Thanos saizi Yao mnyonge,
Ila swali la msingi ni kwanini Thanos ni Adui(Villain) ? ,
well Thanos anakua Adui kwasababu lengo lake kuu ni kukusanya , infinity stones ili awe na power ya kuua/kupoteza zaidi ya Nusu ya population ya Ulimwengu(universe)
Bado swali linabaki kwanini Thanos anataka kuua nusu ya Ulimwengu?,,,
Thanos asili yake ni Sayari ya Titan, hii nje ya comic story na Malvel movies ila ni kama Jupita ,
Wakati Thanos anakua Titan ilipatwa na janga la kuwa na idadi kubwa ya watu hali iliyo pelekea ile Sayari kucorupt na walio kuwa wakiishi kwenye Sayari Ile kufa karibu wote kutokana na supply ya mahitaji muhimu kama hewa gesi na chakula kushindwa kutosheleza mahitaji.
Hivyo kama Sayari iliweza kuzidiwa na idadi kubwa ya wakazi na Ulimwengu pia unaweza kukumbwa na tatizo hilo ,
Hivyo kwakwe Thanos sio kuwa ana taka kuua nusu ya Ulimwengu Bali , anafanya nusu ya Ulimwengu kuwa na uhakika wa kuishi kwa Raha na kuwa na resources za kutosha ,
Fikiria itokee nusu ya idadi ya watu Duniani hawapo alafu tumebaki nusu,
Kitakua na Supply kubwaa sana , kuanzia chakula , Hewa , Ardhi , nafasi za kazi Yani kila mtu atakua ana Ishi atakavyo kwa Raha na uchumi utakua rahisi kucontrol,
Thanos anaamini Kuna siku itafika idadi ya watu ita zidi supply ya Ulimwengu na ndio vita kugombea supply itakuja na mwisho wa siku wote tuta teketea ,
Yupo sahihi? ,, Obvious Yes!,
Kama Gates Bill , anakaa sehem anawaangalia avengers wanavyo pambana kumzuia Thanos kufanya yake bas ana wa mind sana ,
Sababu Wana mawazo sawa yanayo fanana sana.
Mara kadhaa gates ame kua aki onya Ulimwengu juu ya ukuaji holela wa idadi ya watu , kitu ambacho anaamini Kuna muda resources hazitatosha kwa watu wote ,.
Hivyo kwenye Conspiracy Chaos Kuna baadhi ya myth zinazo eleza kuwa , Kuna underground project Zina fanywa na Gates akishirikiana na WHO, ili kucontrol idadi ya watu Dunia ikiwezekana iwe nusu ya idadi ya Sasa! ,
Baadhi ya project ni COVID 19(ililenga zaidi Africa) , USHOGA(inalenga Dunia nzima) Uzazi wa mpango , COVID 19 vaccine , Grade 3 Smartphones Terrorissm na Kadhalka na kadharika ,
Hivyo wazo la Thanos na Gates ni Moja tofauti ni kwamba , Thanos amekua Branded kama Vellain alafu Gates Kawa Branded kama Hero na Bilionea anaependa kutoa misaada kwa wasio jiweza ,
Hivyo kwenye story yake Gates ni hero., kama ilivyo kwenye story ya Thanos kwake ye ni Hero alie pambania Nusu ya Ulimwengu kuishi na sio kuua nusu ya Ulimwengu.
Hataki kitukute kilicho wakuta watu wa Titan ,
Bora tubaki nusu kuliko kufa wote ,!