Kwa genius Tu: namba ipi inayofata?

Kwa genius Tu: namba ipi inayofata?

Citizen B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
6,681
Reaction score
9,084
Wale Ambao mlikuwa hamkeshi Na Mbu darasani, miguu ikiwa kwenye beseni la maji kama Sisi ila mnaongoza ikija mitihani.
Twende kazi

1,2,4,8,16,31,?
 
Wale Ambao mlikuwa hamkeshi Na Mbu darasani, miguu ikiwa kwenye beseni la maji kama Sisi ila mnaongoza ikija mitihani.
Twende kazi

1,2,4,8,16,31,?
Haina sifa za arithmetic wala geometric series ... Umejibunia tu eti .
 
Haina sifa za arithmetic wala geometric series ... Umejibunia tu eti .
Mkuu Ina Jibu hiyo...kwani Kila series mpaka iwe arithmetic au geometric?
Mbona Kuna harmonic series, Fibonacci series, Taylor series nk. Nk. Nk.
 
Haya maswali yapo kwenye site za kujipuma IQ mi niliyakuta 20 nkapata tisa tu. Nilisolve page kibao lakini hola.
 
Back
Top Bottom