John porter
Member
- Jul 8, 2013
- 65
- 28
Nna C ya eng, D ya civics, kiswahili, geography, na F ya maths, biology na history
Certificate na diploma ya Records management
Shukrani sana ila suala nilihofialo ni kutumia njia nyeusi(bribe)
sasa we unachoshangaa nini, au mpaka majanga yakupate ndo ujifunze?Duh. Hivi rushwa bado ni tegemeo kufanikiwa?
sasa we unachoshangaa nini, au mpaka majanga yakupate ndo ujifunze?
sasa we unachoshangaa nini, au mpaka majanga yakupate ndo ujifunze?
Duh. Hivi rushwa bado ni tegemeo kufanikiwa?
Simaanishi nategemea au nataka kutoa rushwa na ndyo maana nimeuliza kama hzo grades zinaniruhusu kusoma hzo kozi kama La nitafute jingine la kufanya...
Sidhani kama unahitaji rushwa hata kdg. Anza na certificate ili ufanye vzr kwenda mpk bachelors degreeq
Haya mkuu, nisamehe ikiwa nimekukwaza sikuwa informed kama rushwa ni halali kiasi cha kuitaja kbs hivi
Nna C ya eng, D ya civics, kiswahili, geography, na F ya maths, biology na history
Certificate na diploma ya Records management
Nna C ya eng, D ya civics, kiswahili, geography, na F ya maths, biology na history
Certificate na diploma ya Records management
Nna C ya eng, D ya civics, kiswahili, geography, na F ya maths, biology na history
Certificate na diploma ya Records management
Pole, nadhani huyo jamaa atakuwa CCM tu. Si unajua chama letu.
Usipoteze muda kaka John. Wewe ni kilaza, huwezi engineering, utadisko au ukiendeleza kutoa rushwa ili ufaulu ni sawa, ila ukiwa eng. utajenga gorofa halafu litadondoka na kuua watu hivyo utaishia kuhukumiwa kifungo cha maisha au kunyongwa hadi kufaa!
Nakushauri utafute TCU Guide book,imeorodhesha Qualifications kwa kila Degree Requirements au unahitaji kusoma ktk level ipi? Hata ivo inaonesha wazi kua Wewe masomo ya Sayansi hukuweza kufaulu vizuri Math una F aFU PHY Hujasoma at the same time unataka kusoma Engneering,upo serious kweli Wewe? Alafu umesoma Dip na Cert ya Records management ni bora zaidi ukajiendeleza kwa kujikita zaidi hukohuko kwani unakua ktk Chance nzuri ya Kukabiliana na Competition KTK Ajira na ufanisi wako wa kazi. otherwise ufafanue umelenga kitu gani zaidi kusema hivyo!
Thaanx ur comment is very useful.. Kuhusu physics, chemistry sikuyasoma kabisa kwani Form 1 and 2 nilisoma kwa mwaka 1 na kufanya QT shule niliyosomea hawafundishi hayo masomo wala hatuyafanyii mtihani, Maths yenyewe hata Log hatukufundishwa na kwenye mtihan haikutoka ila baada ya kufanya QT nilihamishiwa shule za kawaida(ya jeshi) na kupelekwa moja kwa moja darasa la sayansi ijapokuwa nilihama na kwenda Arts nilipofika Form 4.. iliniwia vigumu kufanya vizuri kwani misingi ya masomo hayo niliikosa na unajua shule zetu za jeshi hawakutaka kujua chanzo cha mimi kufanya vibaya ni nini ilikuwa ni bakora tu.. Si kwamba siwezi ila nilikosa misingi
Unashaurije hapo
Ok,nimekuelewa,kwanza nikupongeze kwa nia na Bidii ya kujiendeleza kielimu ulionao licha ya kupitia mfumo wa QT Ila imeonyesha una nia,nionavyo mimi utafika mbali cha Msingi usikubali kukatishwa tamaa na watu,ila sijajua ni kwa nini umependa kusoma Engineering licha ya Background yako ktk masomo ya sayansi kutokua Nzuri,kama huna sababu ya muhimu sana ya kuhitaji Kusoma Engneering nakushauri ujiendeleze katika masuala hayohayo ulosomea Certificates na Dip kwani utakua unatengeneza Link nzuri kukabiliana na ushindani wa kielimu pamoja na Ajira kwa Ujumla!