Kwa graduate bankers looking forward to do TIOB exams this november

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Niaje wakuu,
Basi kwa wale university graduates wenzangu katika tasnia ya banking and finance ambao wanatarajia kufanya mitihani ya TIOB( Tanzania Institute Of Bankers) kwaajili ya cheti cha cpb ningependa tuweze kufahamiana na tupeane details kuhusu ma review classes kusudi tarehe zikikaribia tuanze kuchimba kwaajili ya paper zao!
 
Je nini dhima/faida ya hiyo mitihani na vyeti kwa ujumla? Wengine hatufahamu, hivyo, nakuomba utoe elimu kwa umma.
 
Je nini dhima/faida ya hiyo mitihani na vyeti kwa ujumla? Wengine hatufahamu, hivyo, nakuomba utoe elimu kwa umma.

Mkuu, mitihani hii ni kama unavyosikia kwa watu wa accounts ambao ukiwa na CPA ni kigezo kikubwa sana ambacho hata pia kimshahara unakua na kima cha juu. Mitihani hii ya TIOB pindi mtu unapoifanya na kufaulu yote ndipo unatunukiwa cheti cha CPB (certified public banker) ambapo unakua unatambulika kimataifa popote pale kama banker aliyefuzu mkuu!
 
Review classes kwa TIOB Certified Professional Banker na Bamking Certificate candidates watakaotaka kufanya mitihani May 2015 wasiliana na Gateway Finamcial Services No 0753210210 wapo Moyo Plaza Shaurimoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…