Chasing Monsters
Member
- Jul 4, 2022
- 29
- 30
Habari za jioni wadau? Nina mengi ya kushare nanyi kuhusu safari yangu ya kutafuta maisha ndani ya mkoa wa Kagera niliyoianza mwezi wa nane mwaka huu 2022. Ila kwa ufupi naomba niseme tu kuwa safari yangu hii hatimae imenifikisha katika mji wa Ngara.
Hivyo basi, kwa wanajamiiforums mlioko huku naombeni mnipe muongozo wa mfumo wa maisha na upatikanaji wa kazi ndani ya mji huu.
Nina siku tatu sasa tangu nifike huku na hali ya hewa niliyoikuta huku ni mvua nyingi, baridi kali na jua kidogo sana(leo halijawaka zaidi ya nusu saa). Karibuni wadau mnipe ramani ili nami niweze angalau kubadiri mfvmo wa maisha 2023.