kwa habari nilizopata msanii mwingine wa bongo movie ameaga dunia leo ni JOHN ( BIG JOHN)

kwa habari nilizopata msanii mwingine wa bongo movie ameaga dunia leo ni JOHN ( BIG JOHN)

399313_403799203024190_1586645886_n.jpg mungu amlaze pema peponi amen
 
mbele ya kifo hautambi...kifo ni kiboko yao.
R.I.P Dr Remmy
 
Dah nilishtuka sana nilipopata updates bbm
ni mmoja kati ya wasanii wachache walioenda shule anabachelor ya taxation
dah
 
pia anapatikana kwenye filamu ya mrembo kikojozi. R.I.P
 
RIP man.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
APEPE - Alale Pema Peponi, John!
Tulikupenda, lakini Bwana amekupenda zaidi.
 
Tangu November 2012 kuna wengi wamerest in peace.
 
Back
Top Bottom